Ukweli ni kwamba US na Israel hawakubali kuaibika, hawakubali kushindwa.
Hakuna sheria inayowazuia kufanya lolote hata kutumia Nyuklia kuangamiza Tehran yote ili waonekane washindi
Kuna taarifa zilivuja kwa dakika chache kuonyesha Meli la kivita Abraham likiwa limevurugwa vibaya huko...