Wakuu,
Nilipita sehemu leo (uswahilini) nikakuta wamama watu wazima wanazungumzia kuhusu uteuzi mpya uliofanywa hivi karibuni kwenye baraza la mawaziri
Yaani ni wanatoa nondo balaa. Wengine wanasapoti uteuzi uliofanyika wengine wanasema hapana uteuzi haukuwa sahihi
Binafsi nimeona kuna mwamko...