Serikali imewahimiza wanawake kujitokeza kumiliki ardhi na kutumia fursa zilizowekwa kwa kupitia Sera ya Taifa ya Ardhi ya Mwaka 1995, Toleo la Mwaka 2023 ili kuendelea kunufaika na fursa zinazopatikana kupitia sekta ya Ardhi nchini.
Sera hiyo ambayo ilizinduliwa mwezi Machi 17, 2025 na Dkt...