wanawake kondoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PreGE2025 Wanawake 5,000 Kondoa wafanya matembezi kumpongeza Rais Samia kwa Miradi ya Bilioni 80

    Zaidi ya wanawake 5000 kutoka wilaya ya Kondoa Mkoani Dodoma wakiongozwa na mkuu wa wilaya hiyo Fatma Nyangasa wamefanya matembezi maalum ya kumpongeza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzanja Dkt Samia Suluhu Hassan kutokana na utekelezaji wa miradi mbalimbali iliyoghalimu zaidi ya 80 Bilioni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…