WANAMICHEZO sita wamejitokeza kuwania urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) unaotarajiwa kufanyika Agosti 16, mwaka huu jijini Tanga.
Taarifa iliyotolewa muda mfupi uliopita na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi, Wakili Benjamin Kalume imewataja wanamichezo hao kuwa ni Ally...