Wanafunzi wa Dar es salaam wananyanyaswa sana na makondakta wa daladala,watoto wanawahi mapema stand lakini hawawabebi na mara nyingine wanawatusi kabisa.
Wanaweza kukaa stand takribani masaa 4 wakisubiri usafiri lakini kila gari linalokuja wana wazuia.
Kuna watoto wa darasa la 1-7 mara...