Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amewakaribisha kujiunga na CCM Wajumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA iliyomaliza muda wake ambao leo May 07,2025 wametangaza kuondoka CHADEMA akiwemo aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA...