waliodhoofika kimwili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chanzo halisi cha kupokea nguvu mpya kwa waliodhoofika Kimwili, Kiroho na Kihisia

    Isa 40:29 SUV [29] Huwapa nguvu wazimiao, humwongezea nguvu yeye asiyekuwa na uwezo. Sio ajabu siku za leo kukutana na ndugu katika BWANA amechoka sana, hana hamu tena na ibada, huduma, na ile hamu ya kuendelea mbele kwa maisha ya wokovu haipo tena. Kutokana na magumu anayopitia katika maisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…