Watu waliojitambulisha kuwa ni Askari Polisi, wamemkamata Mwenyekiti wa Chadema kanda ya kaskazini, Wakili Samwel Welwel maeneo ya Kibaoni Arusha, akiwa anaelekea kijijini kwao Karatu. Amepelekwa kituo cha polisi Karatu na taarifa awali zinaeleza kuwa polisi wanamhoji kwa sababu "wanahisi"...