Wanajamvi kwema?
Nadhani wote tunakumbuka tarehe 15/09/2025, taifa lilishuhudia kadhia ya aibu katika Mahakama Kuu DSM. Wanachama wa CHADEMA walipigwa na kudhalilishwa na jeshi la polisi ila mbali na hayo pia Wakili Deogratius Mahinyila (ambaye pia ni mwenyekiti wa CHADEMA Vijana), akiwa kazini...