Wakuu,
Wakatoliki feki wazidi kuumbuka.
Huyu dada kama mlivyomsikia hapo kwenye video ni anaitwa Lucy Mikaeli, huyu ni Katibu wa UVCCM huko Yombo Dovya.
Hivi mlishindwa kabisa kuchukua watu wenye weledi waje kuwasemea?
Mtu ambaye hata alishindwa kutamka neno PETITION akasema PETROL STATION...
Wakuu tunaendelea na mjadala wetu juu ya wanaojiita wakatoliki 120 ambao binafsi nawaita wakatoliki 'Feki' yaani wa maji ya jioni na watu wasiojitambua na waliofanya mchezo wa kitoto dhidi ya kanisa katoliki kwa bei ndogo sana ambayo haiwezi kuzidi hata Tsh. 5000.
Katika barua inayodaiwa...
Njooni huku muone Wakatoliki wanaovaa vijora!
----
Kundi la waumini wa Kanisa Katoliki linalokadiriwa kufikia watu 100, leo Januari 5, 2026, limefika katika Ubalozi wa Vatican nchini Tanzania kuwasilisha barua rasmi ya malalamiko dhidi ya viongozi wawili waandamizi wa kanisa hilo.
Malalamiko...