Ukifuatilia Charls Kimei bungeni michango yake huwa ana hoja sana huwezi mlinganisha na wakina Abood ambao kwanza hawaongeagi au wakina Kibajaji ambao wanaongea utumbo na still jimboni kuna porverty ya kutisha.
Hii sera ya kugeuza kwamba Wabunge ndio wanao leta maendeleo tena Jimboni sio nchi...