Mtangazaji wa Clouds Media, Adam Mchomvu, amedai kuwa "Mimi kodi yangu asipewe mchezaji" akisema, hali ya miundombinu, kama barabara za ndani ni mbovu kila chocho, wagonjwa wengi hawapati dawa, na yatima pamoja na wenye mahitaji maalum wanakosa msaada unaohitajika.