wagombea kuenguliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PreGE2025 Jaji Warioba: Uenguaji wa Wagombea kwenye chaguzi nje ya sababu za Msingi zilizo kwenye Katiba ya JMT umezidi

    Waziri Mkuu na Jaji Mstaafu nchini Tanzania Joseph Sinde Warioba ameeleza kuwa mwaka 2019 na 2020 ndiyo miaka pekee ambayo ameshuhudia wagombea wengi zaidi wa Vyama vya siasa wakienguliwa kwenye ushiriki wa Uchaguzi Mkuu na ule wa serikali za mitaa, nje ya sababu za Msingi zilizo kwenye Katiba...
  2. PreGE2025 John Heche: CCM haitaki uchaguzi, Makalla akisema 'hatujajiandaa' aulizwe kwa nini wanaengua wagombea

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Bara John Wegesa Heche John Heche amesema chama hicho kimejiandaa kushiriki uchaguzi mwaka huu hivyo kikisema 'no reform no election' isitafsiriwe kama hawakujiandaa. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
  3. K

    LGE2024 Rufaa za CHADEMA Simiyu zagonga mwamba. Wagombea 200 waenguliwa

    Uko Wilaya ya Itilima Mkoa wa Simiyu, nimeona kupitia Global TV Online, zaidi ya Wagombea wetu wa CHADEMA rufaa zao zimegonga mwamba, hivyo wameenguliwa wasigombee nafasi yeyote uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024. Waombea takribani 240 wa nafasi mbalimbali, wameenguliwa kugombea katika uchaguzi...
  4. LGE2024 Uchaguzi wa tarehe 27 November tunaenda kumchagua nani kama wagombea wengine wameenguliwa?

    Wana Jf habari za kwenu. Tulihimizwa sana tujiandikishe na elimu ikatolewa kwa wingi sana. Tulielewa tulioelewa tukajiandikisha Sasa tunahimizwa tukashiriki uchaguzi tukawachague viongozi tunaowataka Swali: Tunaenda kumchagua nani kama wagombea wanaenguliwa? Binafsi nimepoteza matumaini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…