Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla amezungumzia mabadiliko mapya ya sheria kuhusu haki za Wafungwa kupiga kura ambapo amefafanua kuwa kwa sasa Wafungwa wenye vifungo vya chini ya miezi sita wataweza kushiriki katika uchaguzi...