Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga, amewataka wajasiriamali wanaofanya biashara kupitia mitandao ya kijamii kusajili na kulinda nembo zao kisheria kupitia Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), kwani kuwa na wafuasi wengi kwenye mitandao ya kijamii pekee hakutoshi...