Salaam,
Kwanza MUNGU awabariki sana wanawake weusi.
Na pia kabla ya yote naomba niwajuze kuwa tumekubaliana Jumapili ijayo tunaenda kutoa sadaka kwajir yenu, ili MUNGU awatunze.
Binafsi hapo mwanzo nilijua kuwa ni utoto thats why niliwa adore sana sana sana.
Ila sasa utu uzima huu unakuja kasi...