wachina na kodi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    DOKEZO Wengi wanaoshadidia sakata la wachina ni watu wa kawaida na sio wafanyabiashara. Tuache ushabiki na tuchukue hatua hizi stahiki

    Habari wakuu, Nimekuwa nikifuatilia mijadala mitandaoni, hasa kwenye Facebook, X na hapa JF, kuhusu sakata la Wachina kwenye biashara za rejareja. Inaonekana wale ambao hawafanyi biashara au wanaoendesha biashara zisizotegemea uagizaji wa bidhaa kutoka nje ndio wanaoshabikia Wachina kuruhusiwa...
  2. DOKEZO TRA mulikeni hawa Wachina, wanahujumu uchumi wetu. Hawalipi kodi ipasavyo

    Salamu wakuu, Hili nimekutana nalo jana, japo imekuwa sio ngeni ila hii niliipokea kwa uchungu mkubwa sana (sijui kwa vile ni Wachina), kama mzalendo ikabidi ‘nipachimbe’ sana. Wanauza bidhaa kwa kile wanachoita ‘bei ya kiwandani’ hivyo mteja unategemea unafuu wa bei, na kwa kuzingatia hilo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…