wabunge wa covid 19

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Tume ya Uchaguzi wangeweka kanuni za kusimamia mchakato wa viti maalum bungeni ili kuzuia yale yaliyotokea mwaka 2020 sakata la wabunge wa Covid 19

    Wakuu, Kwa mambo yanavyoenda, ni dhahiri kuwa kuna uwezekano mkubwa CCM ikashinda ubunge kwa 99% kama ambavyo ilitokea mwaka 2020 Maana yake kuna uwezekano wa kukosekana kwa upinzani bungeni kama ilivyokuwa kwenye uchaguzi wa 2020. Kuna sheria zozote zilitengenezwa na tume kukabiliana na...
  2. Mahakama imesitisha shughuli zote za CHADEMA ajabu bungeni bado kuna wabunge wa CHADEMA

    Wasalaam. Mahakama tukufu ilisimamisha shughuli zote za kisiasa na kiutendaji za chama cha democrasia na maendeleo chadema, lakini wabunge wanaotambulika kama wa chadema yaani covid 19 bado wanahudhuria bunge la bajeti linaloendelea dodoma. Ni kwamba hii amri ya mahakama haiwahusu au ndo...
  3. U

    Nini hatma ya Halima Mdee na wenzake 18 baada ya Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti CHADEMA?

    Kwanza kabisa nianze na Kumpongeza Tundu Lissu Kwa kuwa Mwenyekiti. Pili niingine kwenye Mada, Wabunge 19 wa viti maalumu wa CHADEMA ambao walifukuzwa uanachama walipambana sana kuhakikisha wanatoa pesa na support ya kutosha kuhakikisha mtu wanayemsapoti anashinda. Kwa sera mpya za Mwenyekiti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…