Bunge la 13, Mkutano wa Pili unaendelea Jijini Dodoma ambapo waheshimiwa wabunge wanaijadili hotuba ya Rais Samia aliyoitoa Novemba, 2025 wakati akifungua bunge hilo tukufu la 13 tangu Uhuru.
Kila mbunge aliyepata nafasi ya kuongea kuhusu hotuba hiyo, aliangalia kile ambacho anaweza kukichakata...