Stendi ya Mawasiliano ni eneo lenye muingiliano mkubwa wa watu kutokana na uwepo wa soko pamoja na mabanda mengi ya biashara. Licha ya umuhimu mkubwa wa eneo hilo, upatikanaji wa huduma ya choo kwa sasa ni changamoto kubwa, hali inayosababisha usumbufu kwa wafanyabiashara, wananchi wanaofika...