Chama cha ADA TADEA kimesema kuwa wanawake na wenye ulemavu watakaojitokeza kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi mkuu mwaka huu, watachukua fomu za kuwania nafasi hizo bure.
Akizungunza na wanachama na viongozi mbalimbali wa chama hicho wilayani Maswa mkoani Simiyu, katibu mkuu...
Wakuu,
Mwenyekiti wa CHAUMMA, Hashim Rungwe amemtaka mtangazaji kuchukua fomu na kugombea katika uchaguzi ujao wa chama hicho kama anaona kwamba mwenyekiti wa sasa amekaa muda mrefu madarakani
Soma pia: CHAUMMA Morogoro: Tutahakikisha tunashika dola uchaguzi mkuu ujao
"Chama tumekiasisi...
VYAMA 14 vya siasa vimesema Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika jana ulikuwa huru na haki.
Aidha vyama hivyo vimeipongeza serikali chini ya Rais Dk.Samia Suluhu Hassan, kwa maandalizi mazuri tangu mwanzo wa kupata wagombea, kampeni na upigaji kura.
Vyama hivyo vimetoa tamko hilo mapema...