By
Æfrica Macka Bara
-------------------------------------
Je, umefundishwa katika dini yako kuwa Biblia na Quran ndio vitabu pekee vyenye nguvu na maajabu? Ni kweli vitabu hivi ni miongoni mwa vitabu vyenye maajabu, ila kuna baddhi ya vitabu vinavyofichwa kutokana na nguvu zake za kubadili...