Wananchi walihamasishwa kipumbavu na wapumbavu kwa kumchonga mpumbavu waliyemwita Kapteni Tesha.
Kapteni Tesha na wenzake walijenga picha kuwa jeshi la JWTZ liko nyuma ya maandamano/mapinduzi ya Oktoba 29 hivyo kuwataka wajitokeze kwa wingi kwenye mapinduzi yale.
Hii haina tofauti na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan ametembelea Makumbusho ya Vita vya Majimaji iliyopo Mjini Songea Mkoani Ruvuma, kwa lengo la kutoa heshima ya Kumbukizi ya Mashujaa wa Vita ya MajiMaji vilivyopiganiwa takribani miaka 119 iliyopita .
Akiwa katika makumbusho...