vita vya urusi na ukraine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Urusi yagoma kurejesha maeneo ya Ukraine

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi, Sergey Lavrov amesema kwamba Urusi haitakubali kurejesha ardhi iliyokwisha itwaa kutoka Ukraine katika mazungumzo ya kutafuta amani yanayotarajiwa kufanyika leo katika jimbo la Alaska nchini Marekani baina ya Rais Donald Trump na Rais Vladmir Putin. Akizungumza...
  2. JamiiForums Tanzania Trump: Mapigano Urusi na Ukraine kukoma hivi punde, mazungumzo Kuhusu kugawana Ardhi yanaendelea

    Raisi WA Marekani Donald Trump akizungumza na waandishi wa habari akiwa live ofisini kwake (oval office) amesema kwamba:- "mapigano urusi na Ukraine kukoma hivi karibuni, mazungumzo juu ya kugawana Ardhi yanaendelea" Chanzo: rt, spectator index, Kyiv post
  3. JamiiForums Tanzania Zelensky: Putin hataki kumaliza vita Kidiplomasia

    Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema Kiev ingependa kukomboa maeneo yaliyochukuliwa na Urusi kwa njia ya kidiplomasia, lakini Vladimir Putin amedhamiria kuendeleza mapambano ya kijeshi. Zelensky amesema baada ya uvamizi wa Urusi kuanza, Ukraine ilifanikiwa kukomboa tena zaidi ya 50% ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…