sijajua ni uzembe wa meneja wa team, team haina watu wa security au makocha wazungu ndiyo pendeleo lao ama nini lakini hili la mashabiki kuangalia mazoezi ya simba linafikirisha sana.
Ni ujeuri na ukaidi tu, wanajua kesho tukifungwa watamtuma Ahmed Ally apooze watu na tararira mbili tatu maisha...