Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinasikitika kuwatangazia kifo cha, Suez Dani Maradufu ambaye ni dereva wa Makamu wa Mwenyekiti Bara, John Heche.
Suez amekutwa amefariki leo asubuhi Jumatano, Julai 01, 2026 chumbani kwenye nyumba ya wageni aliyofikia, mjini Kigoma. Mwili...
"Waliokatwa ni makamu mwenyekiti wa chama chetu Zanzibar Said Mzee yeye alikamatwa kwenye gari akapigwa, hawa polisi walikuwa wanapiga marungu kwenye migongo, walikua wanageuzwa hivi halafu kwenye katikati ya uti wa mgongo marungu yanapigwa, ilikuwa ni kitendo cha unyama uliopitiliza."
Kupata...