TAARIFA KWA UMMA
Msafara wa viongozi wa BAVICHA Taifa na Kanda ya Kaskazini, ukiwa njiani kuelekea nyumbani kwa familia ya akina SOKA kama sehemu ya kuenzi mashujaa wetu, umekumbwa na vizuizi visivyo halali. Magari ya polisi yamezuia msafara huo takribani mita 100 kutoka barabara ya Kibosho...