Vikao vya Kamati za Kudumu za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanza siku ya Jumanne Januari 13 hadi ljumaa ya Januari 23, 2026 katika Ofisi ya Bunge Jijini Dodoma. Hivyo wanapaswa kuwasili Januari 12, 2026 siku ya Jumatatu.
Taarifa iliyotolewa leo Januari 6, 2026 na Ofisi ya Bunge...