TUNATAFUTA: Videographer / Content Creator
Location: Mwenge,Dar es salaam
Aina ya Kazi: Part-time (Kuwa Flexible ila deliver Kazi)
Tunatafuta mtu mwenye uwezo wa kupiga, ku-edit, na kutengeneza video za kwa ajili ya Instagram & TikTok. Lazima uwe mbunifu, uelewe vibe ya content ya sasa, na uwe...