Mwenyekiti wa Umoja wa Maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste (CPCT), Askofu Dr. Vernon Fernandes, akiwa Madhabahuni mbele ya Makamu wa Rais, Emmanuel Nchimbi, amesema mara kadhaa kuwa Kanisa la Kipentekoste limekuwa likitengwa na Serikali. Hata wakialikwa kwenye vikao vingi, bado hawapewi nafasi...