uzinduzi wa daraja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Tabasamu na Furaha: Picha Ya Wiki Ya Rais Samia na Mama Janeth Magufuli katika Uzinduzi wa Daraja la Kigongo Busisi

    Ndugu zangu Watanzania, Hii ni picha ya wiki kati ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan pamoja na Mama Janeth Magufuli Mke wa Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli Rais wa Awamu ya Tano Wa Tanzania. Ni picha iliyojaa nyuso za...
  2. Uzinduzi wa Daraja la Magufuli (Kigongo-Busisi) - Juni 19, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=C_twIGs3KIM Rais Samia mgeni rasmi katika hafla ya ufunguzi wa Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi) lenye urefu wa kilometa 3 pamoja na barabara zake unganishi zenye urefu wa kilometa 1.66. Daraja hilo tayari lipo tayari kwa matumizi, likiwa ni miongoni mwa...
  3. Rais Samia anatarajiwa kuzindua daraja la Magufuli, Kigongo - Busisi Juni 19 2025

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua daraja la Kigongo- Busisi (KM 3) juu ya Maji linalounganisha wilaya za Misungwi na Sengerema ifikapo tarehe 19 Juni, 2025. Taarifa hiyo imetolewa na Abdallah Ulega (MB) Waziri wa Ujenzi wakati akizungumza...
  4. Picha: Nimesikitika sana kuona Naibu Waziri anaenda kuzindua na kupongeza daraja kama hili. Hili daraja limegharimu kiasi gani?

    Wakuu, Kwa hiyo Deus Sangu kachoma mafuta gari ye Serikali aje "kuzindua" kidaraja kama hiki? Hili daraja si hata fundi Juma anatengeneza? Tumefikaje kama taifa sehemu kama hii where tunashangilia vitu petty namna hii? Yaani hili daraja ikija mvua ambayo iko serious ni linaenda na maji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…