Pamoja na majukumu mengine TET kama chombo cha Serikali kimepewa jukumu la kusimamia na kuendeleza Elimu yetu nchini, pamoja na unyeti wa chombo hiki kimekuwa na utendaji kazi mbovu ambao kwa namna moja au nyingine unazorotesha Elimu yetu, nitatumie mifano ifuatayo kujenga hoja yangu;
1...