Kila mchepuko umetokea kutamani kuzaa na mimi
Hii imepelekea kukaribia kuwa na watoto 20, wengine wanahudumiwa na mama zao na mimi pia kuwapa ushirikiano kwa vitu vidogo vidogo ili maisha yaweze kusogea.
Sijajua, kwa nini wote wamekuwa na mwitikio huo, au labda watakuwa wamependa mbegu, kwa...