uwekezaji wa hisa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Vigezo vinne vya kuanza uwekezaji wa Hisa, Bonds & Hatifungani

    Kila mtu anatamani kuanza kuwekeza ili pesa yake izalishe, lakini si kila fursa ni nzuri kwa kila mtu. Huo ni ukweli naomba uwekwe wazi. Kabla hujachukua hatua ya kuwekeza kwenye hisa, bonds au vipande ni lazima ujipime kwanza. Je, uko tayari kiakili, kifedha, na kimtazamo? Makala hii...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini uwekeze kwenye soko la Hisa na Mitaji?

    Kuna masoko takribani matano ya mitaji Soko la hati fungani Soko la hisa Soko la Kubadilisha fedha Soko la Cryptocurrency/ Fedha za crypto Soko la Bidha/Dar Mercantile market Hayajepewa kibali na hakuna mamalaka inayosimamia....Usishiriki, sitoliongelea kwani bado sijajua mfumo wa kuliendesha...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wapi pazuri kuwekeza hisa, bond au fixed deposit au UTT?

    Jamani kwa mtu ambaye hajawahi kufanya biashara ni wapi pazuri kuwekeza kama million 100? Hisa, kampuni zipi Zina hisa Bora,,NMB,CRDB,TBL, Serengeti Bia,Wapi hasa na kwanini? Bond..je za BOT 20 to 25 years?je ni rahis kuzipata mwananchi wa kawaida? Fixed deposit..eg 14 pcnt mfano finca au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…