Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Hakika Rais Samia Ni Kiongozi Mwenye Maono, ni kiongozi anayeishi mbele ya Wakati ,ni kiongozi ambaye anawaza miaka Elfu moja ijayo,ni kiongozi Mwenye akili kubwa na uwezo mkubwa sana wa kuona mbele.
Ni kiongozi ambaye anafikiria kesho njema ya Taifa letu, ni...