Wakuu habari za asubuhi?
Mwaka 2022 nililipa kuunganishiwa maji kwenye nyumba yangu nilikaa zaidi ya miezi 4 bila kuwekewa huduma niliyolipia hadi ikapelekea kununua vifaa vyote vya kuunganishiwa maji isipokuwa mita pekee ndio nilipewa na Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira(TANGA UWASA)...