Tarehe 16 Juni 2025, Mtendaji Mkuu wa TANROADS Mha. Mohamed Besta amefanya Ukaguzi kwenye Mradi wa Ujenzi wa Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Shinyanga na kuagiza Mkandarasi anaetekeleza Ujenzi wa Uwanja huo (CHICO) kuhakikisha anakamilisha kazi za kufunga taa za kuongozea Ndege pamoja na Kumalizia...
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Dk Charles Msonde amesema ujenzi wa kiwanja cha ndege Shinyanga umefikia asilimia 75 na utakamilika Juni 10, mwaka huu.
Amesema kukamilika kwake kutawezesha ndege aina ya Bombadier Q400 kuanza kukitumia kiwanja hicho chenye urefu wa mita 2200 na upana wa mita...