Waziri wa Uchukuzi Mhe. Profesa Makame Mbarawa, ameliarifu Bunge namna serikali inavyonufaika na fursa zake za kijiografia kwa kubuni na kukamilisha miradi mikubwa ya kimkakati ili nchi iweze kunufaika zaidi na fursa hizo.
Waziri wa Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa, ameliarifu hayo Bunge wakati...