Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 52 (jina limehifadhiwa) mkazi wa Bagamoyo mkoani Pwani, Januari 7, 2025 amefanyiwa upasuaji mkubwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala iliyopo Jijini Dar es Salaam, katika mfuko wa mayai wa upande wa kushoto, ambapo madaktari wamefanikiwa kutoa...