Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Shinyanga Mjini, Abdulaziz Said Sakala, leo Julai 3, 2025, amerejesha rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea nafasi ya Udiwani katika Kata ya Mjini kupitia CCM, kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025...