Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) katika Chuo Kikuu cha Usimamizi wa Wanyamapori Mweka, na mdau wa maendeleo Musoma Vijijini, Muinja Maingu, amesema pamoja na vijana kuwa kundi kubwa katika jamii, bado wamekuwa na ushiriki mdogo katika siasa na kuwaachia...