Habari ana JF natumaini mu wazima,
Ipo hivi kipindi cha nyuma Kuna mwanamke niliingia naye kwenye mahusiano japo tulikua tunagombana sana ila kila nilipofanya juhudi kumuacha nilishindwa ilifikia mahali tunakaliana kimya nzima, lakini swala la kuachana hatuachani.
Ivi Sasa ninavyo zungumza...