Na je, tuna sababu ya kuamini kuwa akili ya bandia ni rafiki wa binadamu?
Miezi kadhaa iliyopita, nilikuwa nikisikiliza vijana wawili wakijibizana katika basi la mwendo kasi kuhusu programu mpya ya simu inayoweza kumfanyia mtu kazi ya uandishi wa habari, tafsiri, na hata ushauri wa kisheria...