Mimi kama mdau wa elimu, najitokeza kupaza sauti yangu juu ya ongezeko la mitihani isiyo na mpangilio mzuri kutoka Ofisi ya Elimu ya Sekondari – Halmashauri ya Wilaya ya Busega, Simiyu. Hali hii imekuwa kikwazo kikubwa kwa ufundishaji na ujifunzaji wa watoto wetu, hasa katika shule zenye...