uteuzi wa wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa wabunge wapya, wamo Dkt. Dorothy Gwajima na Balozi Dkt. Bashiru Kakurwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewateua Dorothy Onesphoro Gwajima, Balozi Mahmoud Thabit Kombo na Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kuwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Taarifa hiyo imetolewa leo November 10,2025 na Katibu Mkuu Kiongozi...
  2. GE2025 Mkeka: Uteuzi wa wanachama wa CCM watakaogombea nafasi za Ubunge na Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kwa Majimbo na Viti Maalum

    Chama cha mapinduzi CCM kinatarajia kutangaza wagombea ubunge wake waliopitishwa na kuidhinishwa na kamati kuu ya ccm taifa na hatimae kuthibitishwa na halimashauri kuu ya ccm taifa kugombea ubunge majimboni. mbivu mbichi kujulikana soon. TAARIFA KWA UMMA UTEUZI WA WANACHAMA WA CCM...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…