Habari ndugu zangu..!
Watu wengi hujiuliza pesa inatengenezewa wapi? na wengi kusema pesa hutengenezwa nchi za nje
Kwanza ni kweli hela zinatengenezwa nje lakini hii ni sababu tu kwa namna flani watu weusi kiakili hatuko sawa yani ni wavivu wavivu tu kuumiza vichwa, na huu ni ukweli mchungu na...