Tarehe 26/06/2025, Vijana wanne (4) wafanyabiashara katika eneo la Darajani walitekwa na askari wa Mamlaka ya Mji Mkongwe Zanzibar, na kuwachukua na kuwafungia kwenye chumba kichafu sana katika ofisi ya Mamlaka ya Mji Mkongwe, Forodhani na kuwaingiza kwenye matangi ya maji machafu huku...
Wakuu,
Mapema leo Naibu Katibu Mkuu wa ACTWazalendo -Zanzibar Omar Ali Shehe alidai kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho Hadija Anuwar alitekwa na watu wasiyojulikana wakati wa uandikishaji katika Daftari la kudumu la Tume ya Uchaguzi Zanzibar -ZEC.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri...