usimzalie mtoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fanya yote ila usimzalie mtoto huyo mwanaume!

    Mabinti, hasa nyie wadogo wa alfu mbili, hata akuambiaje, Usijichanganye kumzalia mtoto. Hakuna jukumu kubwa kwenye maisha zaidi ya kuzaa na kulea watoto. Mwanaume akikuambia bado hayuko tayari kukuoa ila anataka umzalie, huyo ni tapeli kama matapeli wengine tu. Kama huna kipato cha kueleweka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…