Wakuu,
China imetangaza ushuru wa asilimia 34 kwa bidhaa zote kutoka Marekani, ikiwa nchi ya kwanza kujibu hatua ya Rais wa Marekani, Donald Trump, ya kutoza ushuru mpya kwa bidhaa zinazoagizwa kutoka nje ya Marekani.
China imesema ushuru huo utaanza kutekelezwa Aprili 10 na baada ya hapo...